Kazi yetu ni kukusogezea habari zote kubwa zinazoweka headlines kwenye magazeti ya leo, hizi hapa ni baadhi ya zilizoguswa kwenye Uchambuzi wa Redioni leo August 14 2015.
Polisi wazuia msafara wa Edward Lowassa kwenda Usangi Kilimanjaro kwenye msiba wa kada wa CCM, Peter Kisumo.. Jeshi la Polisi lapiga marufuku misafara kwenda kuchua fomu Ofisi za NEC pamoja na kwenye kusaka wadhamini…Prof.Lipumba arejea nchini kutoka Rwanda na ameapa kutokuunga mkono umoja wa UKAWA.
Mchujo wa CCM baadhi ya Wabunge wasalimika… Watuhumiwa wa Ujambazi Stakishari wakamatwa, Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membeafunguka kuhusu kuanguka Urais CCM.
Maandamano ya CHADEMA yazuiwa Mbeya… Serikali imesema hakuna uthibitisho wowote wa ugonjwa wa EBOLA kuwepo Mkoani Kigoma, watu wa Kigoma watakiwa kuchukua tahadhari za muhimu dhidi ya ugonjwa huo.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.