Klabu ya Liverpool imeshuka dimbani August 17 kukipiga na klabu ya AFC Bournemouthi liyopanda Ligi Kuu Uingereza msimu huu, huu ukiwa ni mchezo wa pili kwa kila timu,Liverpool imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuanza kuona matunda ya usajili wa mchezaji Christian Benteke iliomsajili msimu huu kutokea klabu ya Aston Villa.
Kwa upande wa AFC Bournemouth hii sio historia nzuri kwani imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Uingereza msimu huu, goli pekee la Christian Benteke dakika ya 26 kipindi cha kwanza lilitosha kuifanya klabu ya Liverpool kuondoka na point tatu muhimu wa mchezo huo.
Hizi ni baadhi ya Picha za mchezo
Hii ni video ya goli la Benteke
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN









Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.