Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

KILIMANJARO STARS YATINGA HATUA YA ROBO FAINALI YA CECAFA 2015 ITAKUTANA NA TIMU HII...

Michuano ya Kombe la Challenge imeendelea tena november 28 Ethiopia, kwa timu kumaliza michezo yake ya hatua ya makundi. Timu ya Taifa ta Tanzania bara Kilimanjaro Stars ilishuka dimbani kupambana na mwenyeji hayo, Timu ta Taifa ya Ethiopia.
Stars walishuka dimbani kupambana na timu ya Ethiopia wakiwa na uhakika wa kutinga Robo Fainali, kwani tayari walikwa wamevuna point 6 katika michezo yake ya awali, lakini Ethiopia ndio walikuwa na presha ya kupata japo point moja ili waweze kufuzu. mchezo ulizidi kuwa mgumu na presha kwa Ethiopia baada ya Stars kupata goli la kwanza.
Takwimu za mchezo kipindi cha kwanza
Stars walipata boli la 1 dk ya 52 baada ya Mohamed Hussein kupiga ckrosi nzuri iliyoingizwa wavuni na Winga mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva na kufanya hali kuwa ngumu zaidi kwa timu ya Ethiopia hadi pale walipoongeza mashambulizi dakika za nyongeza, Salim mbonde akajifunga goli bahati mbaya na kuisaidia Ethiopia. Kwa matokeo hayo Stars itacheza tena na Ethiopia katika mchezo wa Robo Fainali.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top