Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BARCELONA YAVUNJA MKATABA NA GUARDIOLA SAA MOJA BAADA YA KUSAINI...

Rescissione-Sergi-GuardiolaSergi Guardiola.
Barcelona, Hispania
KLABU ya Barcelona nchini Hispania imeingia kwenye headline leo baada ya kuvunja mkataba wake na mchezaji Sergi Guardiola saa moja baada ya kumsajili.
Hii imetokea baada ya Sergi Guardiola (hana uhusiano na Pep) kuandika kwenye mtandao wa twitter maneno ambayo yanaonesha kuuchukiza uongozi wa Barca.
SERGI_GUARDIOLA_GETAFEKiungo Guardiola mwenye umri wa miaka 24, kabla ya kujiunga na Barca alikuwa akichezea timu ya Alcorcon inayoshiriki ligi ndogo za Hispania.
Walichokisema Barca  kuhusu Guardiola ni hiki hapa.
FC Barcelona imeamua kuvunja mkataba wake iliosaini na Sergi Guardiola ambaye pia aliingizwa kwenye kikosi B cha Barcelona, baada kugundua kuwa ameandika kwenye mtandao wa twitter maneno yaliyoukera uongozi wa Barca and Catalonia.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright 2025 MO Design | Designed By Code Nirvana