Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MZEE MAJUTO AIBUKIA KWENYE BONGO FLEVA...

mzee_majuto352Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’.
Gabriel Ng’osha.
Vunja mbavu! Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’ (68) ameibukia kwenye Muziki wa Bongo Fleva baada ya kushirikishwa kwenye ngoma inayokwenda kwa jina la Baba na Mjukuu Wake (mtoto wa mtoto wake wa kumzaa), Emmanuel Ernest ‘Dady.’
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Mzee Majuto, mbali na kumsifia Dady kuwa ana kipaji cha uimbaji, alifunguka kuwa watu wengi hawajui tu lakini ana vipaji vingi ikiwemo uimbaji kama ilivyo kwenye uigizaji na utunzi wa sinema

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top