
Mkali kutokea kundi la Wanaume Family, Chege Chigund mtoto wa Mama Saidi, kawasogezea Ngoma nyingine mpya inayokwenda kwa jina la ‘Sweety Sweety Dance‘ ndani yake akiwa amewashirikisha mastaa kama Runtown na Uhuru huku Kichupa kimetengenezwa na directer kutokea Tanzania, anakwenda kwa jina la Pablo
VIDEO HII HAPA WAWEZA KUIONA...
Pia usisahau ku like page yetu Best yangu wa Ukwee..
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.