Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

NIVA USO KWA USO NA BIG... HIVI KARIBUNI MITAANI...



ACHIMENENGULE, Nimsemo uliozoeleka na kutambulika kupitia Bendi ya muziki wa dansi Tanzania ijulikanayo kama Tanzania one theatre au TOT. Ambao katika vibao vyao kulikuwa na kibwagizo kinachoitwa achimenengule kilichoanzishwa na Marehemu Banza Stone Mwana masanja.
Lakini jina hili limekuja kivingine, ACHIMENENGULE ni Filamu mpya Itakayouwa mitaani hivi karibuni kuptia kampuni ya SPLASH ambayo ni kambpuni pacha ya STEPS ENTERTAINMENT.
Filamu hii itawakutanisha wakali kama Zuberi Mohamed (NIVA), Idrisa Makupa ( KUPA), Luvole Matuvolwa (BIG), Hans wa Leo, ambaye ni msanii wa Bongo Flava na wengine wengi.
filamu hii itakuwa mtaani hivi karibu so usikose kupata nakalayako.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top