RAIS Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, leo Desemba 5, 2017 amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS, Mh. Tundu Lissu katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya anakoendelea kupata matibabu baada kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, Mjini Dodoma na Watu wasiojulikana.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.