Mchungaji Mmoja Nchini Kenya amemuua mkewe Ann Mghoi kwa kumchoma vidu kisha na yeye akaujiua.
Mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina la Elisha Misiko alimuua mkewe ndani ya kanisa lake lililopo katika kijiji cha Chembani, Kisauni, Mombasa na baadaye kujikata koo hadi kufa.
Elisha Misiko aliyekuwa mchungaji wa kanisa la Goods for God’s Gospel Ministries ameacha ujumbe unaomlaumu mkewe kwa kuwa na mahusiano na kijana mdogo katika kanisa hilo, lakini pia katika ujumbe huo amemlaumu mkewe kwa kumzuia kuwaona watoto wao.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.