Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ANGALIA SHOW YA DIAMOND HUKO CONGO NA BURUNDI

SHOW YA DIAMOND CONGO NA BURUNDI
Angalia kwa makini uone jinsi gani wasanii wa tanzania wanavyothaminiwa huko katika nchi za wenzetu.hii ni video inayoonesha jinsi DIAMOND "PLATNUM" alivyopokelewa huko Congo na Burundi pamoja na kipande kinachoonesha show aliyoifanya huko Congo. alipoingia tu alikuwa analindwa kama rais. inapendeza kwa kweli. watu walijazana mabarabarani ili kumuona Diamond. Watu walifurika mpaka ukumbini

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top