Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

"BURINDI NGOMA" ANGALIA SHOW YA NGOMA ZA ASILI YA BURUNDI HUKO PARIS

Hizi ni ngoma za asili ya BURUNDI, ni tofauti na ngoma za hapakwetu nyumbani. Hupiga ngoma nyingi kwa pamoja na katika style moja lakini lasha inakuwa nzuri. video hii inaonyesha moja ya show zao walizozifanya huko PARIS UFARANSA mwaka 2010
Kwa huko BURUNDI Ngoma hii inaheshimika sana, na mara nyingi hupenda kuitumbwiza wakati wa kuwakaribisha viongozi wa serikali mbali mbali kutoka nje ya nchi au viongozi wa nchi hiyo hiyo. kifupi hii ni ngoma ya heshima huko BURUNDI
niliwahi kuambiwa kuwa inaitwa BURINDI NGOMA.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top