Leo hii Madame Rita au Rita Paulsen anayofuraha kuwaambia Watanzania kwamba sasa anaingia rasmi kwenye fani ya utangazaji.
Huu ni Muonekano wa studio kunakofanyikia show ya RPS
Show hiyo mpya ya Rita Paulsen au Madame Rita ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni kwenye Kituo cha AzamTV inaitwa Rita Paulsen Show au RPS Show hiyo itakayokuwa ikiongozwa na yeye mwenyewe Madam Rta itaanza kuonekana June 12 2016
Rita Paulsen na crew yake
Studio
Studio
Studio
Huu hapa ni muonekano wa Studip za RPS wakati zikiwa bado zinajengwa.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.