Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

VIDEO MPYA: YOUNG KILLER FT MR. BLUE... IKO HAPA...

Star wa Fiesta Super Nyota 2012 kutoka Mwanza Young Killer (Msodoki) katutambulishia hii mpya yake mpya ya ‘Kumekucha’ ambayo amemshirikisha Mr Blue (Baiser). nivideo kali na iko vizuri kwa kila kitu kuanzi picha mpaka script ilivyopangiliwa...
ukishaitazama usiache kuniandikia comment yako umeionaje na yeye atapita hapa kuona mlichokisema mashabikiwake na mabeste zake wa ukweli.
Hii hapa Video

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top