
Mtangazaji mahiri na mkongwe Godwin Gondwe ni miongoni mwa Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Rais John Pombe Magufuli ambaye mwishoni mwa wiki alikuwa ni miongoni mwa Wakuu wa Wilaya wapya wanane wa Wilaya za Mkoa wa Tanga walioapishwa na Mkuu wa Mkoa huo, Martin Shigela kushika wadhifa huo.
Godwin Gondwe ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na hapa tayari rasmi kwa kuanza kutekeleza majukumu yake kama Mkuu wa Wilaya Ya Handeni Tanga

.

.



.


.

.

.

.

.

.

.

DC Gondwe akipokea mchango wa madawati kutoka kwa mwakilishi wa A to Z Company
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.