Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

AMINI USIAMINI..MAITI ACHEZA DANCE....TAZAMA HII HAPA.............






Duniani kuna mambo!!!!!!!!!!!!!!,
Watu wa nchini Madagasca wana utamaduni wa kufanya sherehe pamoja na MAITI ambapo hucheza nazo DANCE kwa furaha kubwa huku wakipokezana hiyo maiti.

Sherehe hizo haswa huusisha  familia na ukoo kwa ujumla na jamaa wa karibu wa maiti huyo.
Source bbc swahili

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top