Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

HUKUMU YA REFA ALIYECHEZESHA MECHI YA SIMBA NA YANGA IKO HAPA...

Katika soka la bongo kwa sasa habari inayosambaa kwa kiasi kikubwa mtandaoni ni kuhusiana na muamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya Yanga na Simba October 1 2016 na line one Samwel Mpenzu kufungiwa miaka miwili, bado TFF hajatangaza rasmi adhabu hiyo lakini taarifa zilizoenea mitandaoni ni hizo na TFF hawajakanusha.
Kuna habari kuwa muamzi Martin Saanya na msaidizi wake Samuel Mpenzuwamefungiwa miaka miwili kuchezesha soka, lakini pia inaripotiwa kuwa kadi nyekundu aliooneshwa nahodha wa Simba Jonas Mkude imefutwa, hata hivyo mchezo huo ulimalizika kwa sare ya goli ya 1-1.
Maamuzi hayo yanatajwa kufikiwa baada ya kamati ya saa 72 kukaa na kupitia malalamiko kuhusu refa kulikubali goli la mkono la Amissi Tambwe na line one Samwel Mpenzu kulikataa goli la Ibrahim Ajib kwa kusema kuwa aliotea

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top