Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

CHURA YA SNURA SASA KUONEKANA KWENYE TV NA RADIO...

Leo october 5 2016 Mrembo kutoka Bongo flevani Snura ambaye alizichukua
vichwa vya habari kadhaa baada ya wimbo wake wa Chura kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), leo kutoka kwa Snura, hatimaye wimbo wake umeruhisiwa kuchezwa kwenye Radio na Tv.
Snura amekutana leo na waandishi wa Habari na kuyasema mashariti ambayo ameyafata ili wimbo wake wa chura kupewa ruksa na Wizara... ‘Leo nimewaita hapa kwa sababu ya wimbo wangu wa chura kufunguliwa tena baada ya Serikali kuufungia tarehe  may 3 2016’>>>alisema Snura
‘Hii ni baada ya kukata rufaa na kukubaliana na Wizara kutengeneza Video nyingine ya wimbo wa Chura, "baada ya kutengeneza video mpya ndio wimbo wangu wa Chura umefunguliwa na ni ruksa kupigwa kwenye TV na Radio nchini, pia namshukuru sana Waziri Nape’>>>Snura

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top