MCHEKESHAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mshiriki wa shindano na ‘Big Brother Africa’, Idris Sultan amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa sauti ya Wema ilirekodiwa bila ya Wema mwenyewe kujua. Idris amefunguka kwa wanaokwenda kumtembelea Wema wengi ni wanafiki na wanamalengo yao mengine tofauti na kwenda kumjulia hali Wema.
Mpaka hivi sasa sakata hili bado linaendelea kupata sura mpya na kuwa gumzo zaidi nchini.
“Na muendelee kupiga kulele kutembelea watu central na recording people bila wao kujua. Kwakua tunachukulia maisha ya watu kama mfumo wa likes na following bila kujua tunawaumiza kiasi gani kwa tunachokifanya basi let us proceed na tutaona kama tunaowapenda kama tunavyosema tutakua tumewatendea haki. Kwa hili nimeshindwa kunyamaza you claim to be friends and true people kumbe unafiki unatujaa. We will kill our families and be the 1st to cry kwenye Msiba WHERE IS HUMANITY? kama hamjapenda kutoa moral support basi kaeni majumbani kwenu na mposti posti vimachozi na unafiki wenu sio hata pale pasafi padogo palipo baki” Aliandika Idris
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.