Msanii nyota wa filamu na muziki baby madaha amekumbwa na aibu ya mwaka baada ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba anayoishi na kusababisha kupewa notisi na baba mwenye nyumba wake.
habari zinasema kuwa Baby Madaha amekua akiishi katika nyumba hiyo kwa zaidi ya miaka mitatu bila kulipia kodi na kusababisha kodi hiyo anayo daiwa kufikia jumla ya Sh. 2,000,000/-. kila anapoambiwa kuhusu kulipia anadai atalipa kesho jambo lililo sababisha baba mwenye yumba huyo aliyekuwa mvumilivu kwa kipindi chote hicho kufikia kikomo na kuamua kutoa notisi.
habari zina sema kuwa bBaby Madaha amekuWa haonekani nyumbani kwa kipindi cha siku tatu kitu kilichosababisha baba mwenyenyumba kutaka kutoa vitu nje, lakini kulingana na ustaarabu wake akaona bora ampigie simu na kumpa notisi ya siku mbili awe amelipia deni analodaiwa.
Baby Madaha mwenyeWE amesema kuwa ni kweli anadaiwa na sio kwamba ameshindwa kulipia hela ndogo kama hiyo ila tu alikuwa na mambo yake mengi... hii ni aibu kubwa jamani kwa msanii mkubwa kama baby madaha kufikia hatua ya kudaiwa kodi ya shilingi 2,000,000/-... Ni kweli ana mambo mengi lakini kwanini asilipie kisha aendelee na mambo yake?..
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.