Ukiwatazama utagunduwa kuwa walipendana lakini ukiwatazama kwa makini utagundua kuwa kulikuwa na upendo wa kinafiki ni full BIFU hakuna kingine... IRENE UWOYA JAQUELINE WOLPER na WEMA SEPETU... Bifu zao zinalenga sana kwenye Kushindaniya ma bwana na kushindania pesa za kuhongwa na mabwana zao tu... hawa tuna waita kio cha jamii, sasa kwa maisha yao na ma BIFU yao wanatufundisha nini sisi ambao ni jamii inayo wazaunguuka?
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.