LULU KAACHIWA HURU... Huu ndio uvumi uliovuma kwa siku ya leo kuwa msanii wa maingizo LULU MICHAEL ameachiwa huru baada ya kushinda kesi... huu ni uvumi tu uliovumishwa na baadhi ya watu ambao sio wafuatiliaji wa mambo na wanaongoja tu kuambiwa... ukweli ni kwamba LULU bado yuko ndani na wala leo hakukuwa na kesi yake mahakamani, badala yake kulikuwa na kesi ya Mh. GODFREY LEMA WA CHADEMA ambaye ndiye aliyeshinda kesi iliyokuwa inamkabili...
NA huyu ndiye Mh. GODFREY LEMA wa CHADEMA ambaye ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili na kusababisha baadhi ya watu kuvumisha mitaani kuwa Msanii wa filam na maigizo LULU ndio kaachiwa huru wakati leo LULU hajafika kabisa mahakamani maana tarehe ya kesi yake kusomwa tena Bado haijafika...
Huyu hapa LULU akishuka kwenye karandinga ya polisi... kinachotakiwa tu kwa wale wanaompenda LULU na mashabiki wake waendeleye kumuombea kwa mungu maana kesi yake inakoelekea ni kuzuri...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.