Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

DALLAS WA WOLPER ANAHAHA NA MA BINTI

DALLAD NA MREMBO
baada ya kumwagana na msanii wa nyota wa filam Tanzania Jacqueline Wolper, Dallas sasa amekuwa akihaha asijue ni mwanamke gani wa kuwa naye. Inavyoonesha ni kwamba Dallas baada ya kutengana na aliyekuwa mpenzi wake Jacque Wolper, amekuwa akionekana na wanawake tofauti tofauti jambo linalozaniwa kuwa labda anajaribu kutafuta mwengine ambaye anaweza kumlinganisha na wolper, na labda anatafuta atakayekuwa na mapenzi kama ya Wolper.
DALLAS NA MREMBO 2
dallas na Wolper walikuwa wapenzi lakini walitenga kwa kile kinachosemekana kuwa ni kufulia kwa dallas, ikiwemo na ndugu wa Dallas kudai kuwa Wolper ndio chanzo cha ndugu yako kupata matatizo yaliyompata.
JACQUELINE WOLPER
Sasa Wolper ana Mtu mingine na ambaye kwake ametangaza kabisa kuwa kama hataolewa na huyo basi hataweza tena kuolewa na mwanamume wa Tanzania. dallas yeye ndio kama hivyo haijulikani wake ni yupi kati ya hao anaoonekana nao.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top