Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MILA HIZI, ZIDUMISHWE?...

AFRICAN GIRL
AFRIKA: Katika bara la Afrika, kila kabila na kila koo zina tamaduni zao na ambazo zinatakiwa kuzingatiwa na kuzienzi, lakini ukitazama Afrika ya sasa utagundua kuwa imetawaliwa sana na mila na desturi za kizungu zaidi.
AFRICAN GIRLS
ni makabila machace tu ambayo utakuta kuwa wanazingatia mila na tamaduni zao. Mfano mzuri ni WAMASAI. hili ni kabila ambalo miaka nenda miaka rudi huwa hawasahau tamaduni hata kama watakua wanaishi mijini, utakuta kuwa yuko mmasai aliyesoma kabisa na mwenye pesa zake lakini kusahau mila kwake inakuwa ni vigumu. ni lazma utamkuta angalau amevaa shuka au kitu chochote cha kumtambulisha kuwa yeye ni mmasai japo wapo ambao walishaanza kubadilika kabisa na kuzisahau mila hizo.
AFRICAN WOMAN

Lakini sasa pamoja na yote hayo, JE, MILA ZA NAMNA HII LAZMA ZIENDELEE KUZINGATIWA?  nazungumzia hizo ambazo ziko kwenye picha hii.  NAOMBA UTOE MAONI YAKO...  MILA ZA NAMNA HII ZIZINGATIWE NA KUDUMISHWA?...

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top