Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

H BABA LIBWATA LAMPOTEZA KWENYE GAME

H BABA VIUNO VIKO WAPI MBONA HATUVIONI TENA?
ni ma swali ambayo watu wanajiuliza sana ikiwemo na kuniomba nimuulize H baba kama amefulia au? Hamis Baba au H baba kama anavyofahamika ni mwanamziki mkali wa miondoko ya Takeu au tunaweza kusema ndio mfalme wa takeu kwa sasa. amefanya vizuri sana kwenye nyanja hiyo na watu wamemkubali sana. vile vile H. Babab alijikita kwenye uigizaji wa filam ambako nako ni anafanya vizuri sana na watu wanakubali kipaji. lakini watu walitegemea kuona vipaji vyote hivyo viwili vikindelea vizuri achiliambali kipaji cha kusakata Kabumbu.
H BABA
Hivi sasa ni kama amepotea na mashabiki wanaulizana vipi jamaa Viuno vimekwenda wapi? au ndo amekuwa mzee? ahaaaaa... sio uzee... mwenzio sasa hivi kabanwa... ..kabanwa na nani? ... kabanwa na mchumba wake,.. we humjui FLORA MVUNGI?... inawezekana kweli H BABA mamaa amekushika hivyo mpaka unakuwa hadimu kwenye gemu zote mbili?
FLORA MVUNGI
Oyaaaa... achia limbwata hilo basi rudisha majeshi kwenye game, watu wamemisi ma vitu yako. watu wamemis ma style yako ya Viuno si unajua tena. wasanii wako wengi na wenye style nyingi tofauti lakini kumbuka kuwa kila shetani ana mbuyu wake. kurupuka men... tunajua shemeji yupo lakini fanya kazi...
 Ni mwaka jana tu ambapo HAMIS BABA au H BABA alimvisha mchumba wake FLORA MVUNGI pete ya uchumba ikiwa ni pamoja na kutoa mahari kabisa, hivi sasa kinachosubiriwa ni ndoa tu. lakini pamoja na kuwa tunasubiri ndoa pia tunataka kuona vitu vipya. toka kwako na kwa mamaa pia.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top