Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

MIDUME YAJIPANGA KULA URODA NA LULU LEO

ELIZABETH MICHAEL - LULU
Msanii maarufu wa Filam na maigizo ELIZABETH MICHAEL ( LULU ) aliyekuwa lumande kwa zaidi ya miezi saba (7) sasa ameachiwa huru kwa dhamana baada ya kukamilisha vigezo vyote vya dhamana hiyo.
Design zilizoifikia meza ya MO Design, zinasema kwamba midume kadha ilikuwa tayari kujitolea kumuwekea dhamana hiyo hata kama ingehitajika milioni mia moja. kati ya hao, wanaume kama wanne walisikika wakisema kuwa wao wako tayari kabisa kumdhamini LULU kwa kitu chochote ili tu aingie uraiyani.
walipoulizwa kwa nini wako tayari kutoa kitita cha pesa zote hizo, walijiumauma wasijue cha kusema, lakini kati yao yupo aliyesikika akiongea kwa sauti ya chinichini kuwa "mtoto mzuri kama yule alafu unauliza kwa nini watu tuko tayari kutoa hela?.."
Design zinasema kuwa baadhi ya vigogo walishajiandaa kabisa kwa ajili ya kutoka na LULU leo. Hii ni hatari sana, sasa hata kama wote kweli wanamuhitaji LULU kwa leo atajigawaje?..
Lakini yote yamesemwa na yoye tumuachie LULU kwa vile nimsichana mwenye akili zake na atajua ni jinsi gani ya kupambana na hawa waroho wangono.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

© Copyright MO Design
Back To Top