Soko Kuu la mjini Bujumbura nchini Burundi limeteketea kwa moto na kuacha vifo na vilio vingi kwa wakazi wa jiji hilo hasa wafanyabiashara.
Habari kutoka nchini humo zina sema kuwa soko limeteketea kwa moto mkubwa na kusababisha hasara kubwa sana kwa wafanyabiashara wa jiji hilo na ambao walikuwa wakifanyia biashara zao katika soko hilo.
|
SOKO KUU LA JIJINI BUJUMBURA |
Habari zinasema kuwa watu sita 6 wanasadikika kufa papo hapo na haijajulikana kama kuna wengine waliojeruhiwa katika moto huo. chanzo chetu kinasema kuwa chanzo cha moto huo ulioteketeza karibia soko hilo zima ni itilafu ya umeme lililoanzia kwenye transoma japo habari hiyo haijasibitishwa.
|
BAADHI YA VITU VILIVYOOKOLEWA |
bidhaa nyingi sana zimeungua ndani ya moto huo japo wapo waliojitahidi kuokoa vitu kadhaa.
watu wengi katika eneo hilo walionekana wakidondoka na kupoteza fahamu kwa presha za mali zao. gari za zima moto zilitanda pande zote za soko hilo lakini ilikuwa late.
magari ya zima moto toka uwanja wandege na yale ya Red Cross yote yalikusanwya lakini iliku to late.
NI JANGA KUBWA SANA KWA NCHI HIYO YA BURUNDI maana hili ndio soko kubwa la nchi hiyo ambalo tunaweza kusema ni soko la kimataifa... poleni sana waburundi...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN