Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA RIHANNA KATIKA SHEREHE ZA CARNIVAL - BARBADOS

Hizi ni picha tofauti na za matukio mbalimbali za sherehe ya kiasili iliyofanyika Barbados ambao ndio mji aliozaliwa mwanamziki huyu mwenye makeke RIHANNA. katika sherehe hizi ambazo zilifanyika mtaani Rihana alitia fora kwa kucheza na huku akiwa anatandika mtungi.
sherehe hizo zilifanyika usiku kucha huku walizi wake wakiwa ngangari na makini sana kumlinda bosi wao huyo mwenye vituko.
Katika sherehe hizi, hucheza ngoma za asili na katika midundo ya kinyumbani, haparihana alikuwa akionesha style tofautitotofauti za kucheza huku akigonoa

Rihanna akiwa anajiandaa kwa ajili ya Carnival hiyo



Kwa vile Sherehe hiyo ilifanyika huku wakitembea mitaani, wakati mwingine alichoka na walinzi wakawa wanafanyakazi ya kumbeba.

Katika sherehe hizi za hasili ya kwao hivi ndivyo wanavyotakiwa kuvaa



HAPA NGOMA ZILINOGA KABISA MPAKA WAKASHINDWA KUJIZUIA






Add caption





Kila kabila duniani huwa linakuwa natamaduni zao na ngoma za asili, kama ilivyo hapa kwetu tazania, utakuta kunangoma ya wazalamo, wa masai, walugulu wahaya, waha na makabila mengine mengi, hizi ni tama duni tu.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top