Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ALICHOKIANDIKA MTITU KWENYE FB TIMELINE YAKE KUHUSU FLORA MBASHA

Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali.....hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee nguza na papii kocha wako wapi?
Kiukweli frola una roho mbaya ya mwisho kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi kwamba nashindwa kuelewa umeokoka nn ww ? Eti umemrudia YESU ?YESU yupi huyu nnaemwabudu mm au una YESU wako ww na HUYO GWAJIMA wako?
Leo umemsahau Mbasha ww ? Wakati alikuokata umechakaa wakati mbasha dereva teksi leo wataka kumfunga ili iwe nn sasa mbasha akifungwa utapata faida gani ww? Huyo mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje? Fine unaweza kujikaza ukamwambia yuko jera je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ? Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje?
Hapo auna jibu Acha roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI MKAONGEE KAMA FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO
ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI ZAKE KAMA WW ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA.
USIJE UKASHANGAA WATU WAKASUSIA KAZI ZAKO ZOTE.
GDAY.
 
NA HIZI NI BAADHI YA COMMENT
  • 18 people like this.
  • Sammy Boniface Hivi viumbe WOMEN..Ni .Unpredictable...sishangai hata kidogo Mwanaume mwenzangu kama hujafunguka na kujifunza basi ni wakati wa kujifunza sasa!!!!Pole Mshikaji wangu Mbasha
    11 hrs · Like · 2
  • Wesley Kida Dah inasikitisha sana binaadam tunajisahau tulipotoka ni kama movie vile,too sad mola ampe nguvu mwanaume ya kukabiliana na mtihan kama huu.
  • Yolanda Robby toka niipatee hii ishu...simpendi hta kumsikia hyu malaya..wa gwajima...anayemuabudu shetani...mxxuxxxx
  • Hope Kalama flora acha kumzalilisha mumeo au ndo umepata wazim,usimsingizie shetan tumia akil ww

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top