Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre TOT, Kamptain Jonh Komba, ameafariki Dunia, na hatunaye tena. Katibu mipango wa Tanzania One Theatre TOT, Bwana Gasper Tumaini, amethibitisha kuwa ni kweli Kaptain John Komba amefariki dunia lakini taarifa zaidi zitapatikana hapo baadae.
Captain John Komaba alikuwa muimbaji mahiri wa kwaya yake kwa kuimba nyimbo za Chama Cha Mapinduzi.
R. I. P Kaptain Komba
Endelea kufuatilia modesigntz, na mimi ntaendelea kukuwekea kila habari inayonifikia...
PIA USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANACHAMA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.