Ommy Dimpoz na Wema Sepetu
Habari mpya ya mjini ni hii hapa... Baada ya uvumi kuendea kila kona kuwa Msanii wa Bongo fleva Ommy Dimpoz anatoka anatoka na Msanii wa filam Wema Sepetu na baadae habari hizo kukanushwa, kumekuwa na habari nyingine ambayo ni ya kushitusha kidogo.
Habari hiyo imekuja baada ya baadhi ya watu kujiuliza maswali mengi, moja wapo na ambalo ni kubwa ni hili:
KAMA DIMPOZ HATOKI NA WEMA, JE DEMU WAKE NI NANI? AU NI BWAB****
Ommy Dimpoz na Vannessa Mdee
Hapo awali iliwahi kusadikika kuwa Ommy dimpoz anatoka na Vanessa Mdee lakini kumbe sio na baada ya hapo ndio likaja hili la Wema Sepetu ambalo nalo limebainika kuwa halina ukweli kabisa.
Uchunguzi usio rasmi uliofanywa na baadhi ya wasanii ambao hawakutaka majina yao yatajwe na waliokuwa wanafanya tasmini ya wasanii wenzao kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja kwa nyakati tofauti, utafiti huo ulikuja kubaini kuwa Msanii mwenzao Ommy Dimpoz hajawahi kuonekana na Demu zaidi ya mademu anaofanya nao kazi na wale ambao ni mashemeji zake.
Ommy Dimpoz na Avril
ndipo hapo walipoamua kuuliza swali hilo na kutaka kupata ukweli kuhusu hili... Dimpoz alipotafutwa kwenye simu yake ili kutoa ufafanuzi kuhusu hili, simu yake ilikuwa busy muda wote na baadae ikawa haipatikani kabisa.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN



Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.