Katika kile kinachoonesha kuwa mziki wa Tanzania na wanamziki wa tanzania wanazidi kukubalika kimataifa zaidi, ni hii Video ya Nitampata wapi ya Diamond Platnumz baada ya kupitishwa kuchezwa kwenye kituo cha Televisheni cha kimataifa cha Trace Urban cha nchini Ufaransa, Video hyo bado imeendelea kufanya vizuri mpaka kupewa nafasi ya kuchezwa kama Smash Hit kwenye kituo hicho, yaani video inayokubalika kuliko.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika TV hiyo zikionesha video hiyo ikichezwa kama #SmashHit
Endelea kufuatilia Modesigntz Beste wangu wa ukweli, na mimi nitaendelea kukuletea kila habari inayotuwa kwenye meza yangu...
USISAHAU PIA KULIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN



Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.