story zilizozagaa mitandaoni, iznahusu ukaribu wa mastar Ommy Dimpoz na muigizaji Wema Sepetu baada ya kuonekana picha ambazo walizipiga wakiwa mikao tofauti ya kimahaba, inazidikuwaweka watu na mashsbiki wao katika sintofahamu ukizingatia kuwa Dimpoz na Diamond ni mtu na rafiki yake tena urafiki wao ni wakaribu mno.
Ommy Dimpoz amesema kuwa sio mara ya kwanza kupiga picha na Wema, kuhusu picha iliyosambaa akionekana kitandani na Wema, amesema alipigwa akiwa amelala na hajui kitu chochote juu ya picha hiyo, labda aulizwe Wema ambaye ndio alipiga picha hiyo.
hii inaonesha kuwa wawili hao wako katika mahusiano lakini ilikuwa inafanyika siri, na siri hii ni kwa upande wa Dimpoz peke yake kwani inaonekana kuwa Wema anafanya makusudi ili kumkomoa mtu na ndio maana alipiga picha hiyo huku Dimpoz akiwa amelala.
Ni nani hapa ambaye wema anataka kumkomoa kama sio....?...
Endelea kufuatii Modesigntz Beste wangu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukusogezea kila story inayonifikia...
USISAHAU PIA KULIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIWE ZINAKUFIKIA MOJA KWA MOJA.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN



Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.