Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ILE VIDEO ILIYOSUBIRIWA KWA MREFU MUDA HII HAPA... VANESSA MDEE NA BARNABA


Muda  mrefu watu walianza kuitamania video baada ya single yao iitwayo ‘Siri’ kuachiwa ili tuisikilize, uzuri wa huu wimbo ukaongezeka pia kwenye chati za radio mbalimbali, sasa time hii Vanessa Mdee na Barnaba wamepokea mzigo wa hii video iliyokamilika kutoka mikononi mwa Director Hanscana, naileta hapa pia ili uicheki na wewe Beste wangu wa Ukweli
BOFYA PLAY UITAZAME VIDEO HII #Siri
Endelea Kufuatilia modesigntz Beste wangu wa Ukweli, nana mimi ntaendelea kukusogezea kula story inayonifikia...

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANACHAMA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top