Tangu msanii wa Nigeria, Iyanya aiichie single mpya iitwayo Nakupenda aliyomshirikisha Diamond Platnumz, mitandao mbalimbali ya Nigeria imeonekana kushindwa kutafsiri jina la wimbo huo kwa lugha ya kingereza.
Mitandao hiyo ilikuwa ikitafsiri jina la wimbo huo unaoitwa Nakupenda kwa lugha ya Kingereza kama Marry Me, Remember, ambapo tafsiri sahihi la neno Nakupenda ni I LOVE YOU.
Hii ni baadhi ya mitandao ambayo imeonekana kushindwa kutafsiri jina la wimbo huo kwa lugha ya kingereza ikiwemo, Uncova.com, audiomack.com, Feva tv.com, tooxclusive.com, jaguda.com, naijaurban.com na mengineyo.
Endelea kufuatilia modesigntz Beste wangu wa Ukweli, na mimi ntaendelea kukuletea kila stori inayonifikia...
USISAHAU PIA KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZEU ZIWE ZIKIKUFIKIA MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN




Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.