Katika umri mdogo wa miaka 7 kijana wa kiafrika nchini Togo Sam Kodo alifanikiwa kutengeneza Robot ambayo iikuwa na uwezo kwa kuwasiliana na binaadamu. roboti ilo linaweza kutambua sura za binaadamu, linaweza kutambua vitu, ukiliamrisha lifanye kitu linafanya, linaweza kuongea pia na kucheza mpira wa miguu.
Sam Kodo alizaliwa na kukulia nchini Togo, baba yake alikuwa muadhiri wa fizikia katika chuo kikuu cha Lome nchini Togo ambapo maranyingi sam alikuwa akishinda hapo katika library akijisomea vitabu mbalimbali vya formulas na equations.
lakini pia baada ya kugundua kuwa wanafunzi wengi katika nchi yake wanamapungu, sasa anatengeneza computer itakayowasai wanaunzi hao.
Endelea Kufuatilia modesigntz Beste wangu wa ukweli, na mimi nitaendelea kukuletea kila story inayonifikia...
USISAHAU KULIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA KILA HABARI NINAYO ANDIKA ITAKUFIKIA MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.