Mwanadada ambaye anatamba sana na ngoma yake ya ulitembana Linah Sanga na mkali wa rumba Tanzania Christian Bella, February 5 mwaka huu, waliingia location kwa ajili ya kutengeneza video ya single yao mpya inayoitwa Hello, video hiyo mpya ambayo itakuwa hewani hivi karibuni imeongozwa na director Khalfan.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo mpya.
PICHA ZOTE NA MILLARD AYO... PAMOJA BESTE WANU WA UKWELI
KAMA HAUJALIKI PAGE YETU BASI NI WAKATI WAKO ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIWE ZINAKUFIKIA MOJA KWA MOJA...
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN



































Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.