Ukichelewa kufa utaona mengi sana katika maisha yako. katika hali ambayo mimi wala wewe tulikuwa hatutarajii wala kufikiria kitu hiki, lakini katika vichwa vya watu wengine katika bara hilihili la Afrika walikuwa wanalifikiria.
Kuna mradi umeanzishwa nchini Nigeria wa kujenga nyumba za kuishi kwa kutumia chupa za plastiki. hii ni mpya...
inasemekana kuwa ujenzi wa kutumia Chupa za Plastiki ni mzuri sana kwani unapunguza gharama za ujenzi na pia husaidia katika kuyaweka safi mazingira kwani chupa hukusanywa mitaani na kusababisha mazingia yasime na takataka za chupa.
habari zinasema kuwa katika ujenzi huo. chupa hizo hujazwa kwa udongo mzito kwanza kabla ya kuanza kujenga. lakini pia wakati wa ujenzi hutumia tope zito na kamba badala ya simenti.
wavumbuzi wa majengo hayo walisema kuwa nyumba hizo huwa imara sana na zinaweza kuhimili mitikisiko ya ardhi pia hazipenyeshi risasi.
Endelea kufuatilia Modesigntz Beste wangu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukuletea kila story inayonifikia...
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIWE ZINAKUFIKIA MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN



Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.