Baada ya baadhi ya mitandao kama Millardayo.com na Modesigntz.blogspot.com kuandika habari inayohusiana na mafanikio anayoyapata Diamond Platnumz kimuziki baada ya nyimbo yake ya Ntampata Wapi kuchezwa na kituo cha Televisheni cha Ufaransa cha Trace Urban na kufanya vizuri mpaka kufikia kupewa nafasi ya kuchezwa kama Smash Hit, Diamond alifunguka katika ukurasa wake wa Intagram na kuwashukuru watanzania kwa support wanayompa.
"... Nisingefika hapa bila nguvu na support toka nyumbani... kutoka moyoni kwangu, nawashukuru sana... na aminini kauli yangu, ndio nimeanza... angalieni sinema huu mwaka..." alimalizia Diamond platnumz.
kauli hiyo ilifuatiwa na Comment zaidi ya 450 zikimpongeza na kumsifia.
Endelea kufuatilia Modesigntz beste wangu wa ukweli, na imi ntaendelea kukusogezea kila habari inayonifikia...
USISHAU KULIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA KILA HABARI YETU IWE INAKUFIKIA MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.