Mchungaji wa kanisa Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya waumini wake.
Philip ambaye tayari alianza kuwa na uhusiano na muumini huyo huku mke wake Anne Karissa akiwa anajua kinachoendelea kati yao, lakini aliamua kumsamehe.
Pamoja na upendo wa mke wake kwake mchungaji huyo aliona hiyo haitoshi na kufanya uamuzi wa kumzamisha mke wake kwenye maji hadi kusababisha kifo chake pamoja huku akiwa na ujauzito.
Endelea kufuailia modesigntz beste wangu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukuwekea hapa kila habari inayonifikia.
PIA USISHAU KULIKE PAGE YEU Y FACEBOOK ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIWE ZINAKUFIKIA MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.