Hizi ni picha za Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alipokuwa bado mdogo kuanzia umri wa miaka saba na kuendelea.
zipo hapa picha zinazomuonesha kipindi bado anasoma, zipo zinazomuonesha akiwa katika familia yake na zipo zinazomuonesha akisakata rumba na pia zipo zinazomuonesha alipokuwa jeshini na nyingine zikionesha alivyokuwa na mawanamuziki wa Marekani Akon. zipo zinazoonesha maraisi wote wa Kenya wakiwa katika picha ya pamoja wakati huo Rais wa nne akiwa bado mdogo.
Uhuru Kenyatta ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Kenya Rais Jomo Kenyatta
Tazama picha
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
















Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.