Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS... BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA HURU

BONDIA maarufu wa Masumbwi ya kulipwa nchini, Francis Cheka aliyehukumiwa kutumikis kifungo cha miaka mitatu jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni moja kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake, sasa amebadilishiwa adhabu ya kifungo.
Cheka amechiwa huru na kutoka gerezani ambapo sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.

Endelea kufuatilia modesigntz Beste wangu, na mimi takuwekea kila habari inayonifikia...

PIA USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANACHAMA NA HABARI ZIWE ZIKIKUFIKIA MOJA KWA MOJA HAPO ULIPO

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top