Taarifa kutoka Uganda ambazo zimeanza
kuripotiwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari siku ya leo March 17
inahusu msiba wa msanii AK47 ambaye alikuwa akiimba muziki wa Reggae.
AK47 ni mdogo wa staa wa muziki Uganda, Jose Chameleone.. taarifa za awali ni kwamba msanii huyo amefariki jana baada ya kuanguka bafuni.
Habari kutoka Kampala Uganda msibani, zinasema kwamba familia imetoa ratiba ya msiba huo, leo mwili wa Marehemu utakuwa National Theatre
ili watu mbalimbali wapate nafasi kutoa heshima za mwisho, kesho baada
ya kufanyika ibada msiba utakuwa nyumbani kwa baba wa msanii huyo
kusubiri ndugu wa Marehemu waliopo nje ya nchi kufika ili kupanga ratiba
ya mazishi.
Hapa kuna picha toka Uganda msibani.
PICHA ZOTE NA Millardayo.com

Mke wa Jose Chameleone akiwa amembeba mtoto wa Marehemu, wakijadiliana kitu na ndugu wengine msibani.
.

#RIP Beste wetu Emmanuel Mayanja aka AK47
Endelea kufuatilia modesigntz Beste wangu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukuwekea kila habariinayonifikia...
USISAHAU KU LIKE PAGE YATU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA HAPO ULIPO
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN









Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.