Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na habari zilizoenea kwenye mitandao mbalimbali zikisema kuwa alinusurika kukatwa mguu, akiongea na chombo kimoja cha habari nchini hapa, Diamond amesema alifanyiwa upasuaji huo wa mguu kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi ndani ya mguu wake, lakini kwa sasa amepona na yuko fiti.
Akizungumzia kuhusiana na afya ya mama yake, Dimond Platnumz amesema baada ya kurudi kutoka India kwenye matibabu sasa hivi amepona kabisa, kuhusu ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu kubwa sana.
Endelea kufuatilia modesigntz, na mimi ntaendelea kukuwekea kila habari inayonifikia.
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.