PROJECT? Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2015, Idris Suleiman wamezua gumzo hivyo mwanadada huyo kufunguka na kuweka mambo hadharani.
Wikiendi iliyopita, picha zao wakifanya shopping kwenye supermarket moja iliyopo Makumbusho jijini Dar zilizua mtafaruku kwa mashabiki wao ndipo staa huyo wa kike akafunguka
“Shopping pamoja na Idris. Najisikia vizuri kuwa na huyu mtu,” aliandika Wema akifafanua picha hizo huku ‘kapo’ yao ikipongezwa na wengi.
Endelea kufuatilia modesigntz, na mimi ntaendelea kukuwekea kila story inayonifikia...
USISAHAU PIA KULIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE HAPO ULIPO
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN


Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.