Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

LADY JAY DEE AENDELEA KUMWAGA CHECHE KUHUSU GADNA HIKI HAPA ALICHOANDIKA FB

Lady JAY DEE na Gadna Siku ya Harusi yao

"Hatuja achana niliamua kumuacha.Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano,furaha,amani na upendo.ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo,sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.sioni kujishushia heshima,ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asie na heshima,anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba. Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini. Ukiachilia mbali vipigo.Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu.Ushahidi ninao. .....niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia.Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.

Endelea kufuatilia modesigntz beste wangu na mimi ntaendelea kukuwekea kila habari inayonifikia...

PIA KULIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MUSISAHAU OJA.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top