Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ZIARA YA ALI KIBA NI NOUMA... AFUNGUKA


shu ya kwanza kwenye 255 ya March 09, inamhusu Ali Kiba, weekend iliyopita alianza Tour ya Chekecha  ChekeTour ambayo ilianza kwa show ya Moshi, Arusha na Namanga, Kiba amesema kwenye Tour hiyo amejifunza jinsi watu wengi wanavyopenda muziki wa Live na ameamua kufanya Live Band ili kuonyesha mabadiliko na kuwahamasisha wasanii wengine ambao hawatumii Live Band. Tour ya Kiba itaendelea kwenye mikoa mingine ambapo ishu ya kufanya Live Band bila dancers amesema alifanya hivyo kuonyesha uwezo wake kufanya vizuri bila dancers jukwaani

Endelea kufuatilia modesigntz beste wangu, na mimi ntaendelea kukuwekea kila stori inayotua kwenye meza yangu...

USISSAHAU KULIKE PAGE YETU ILI NAWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA HAPO ULIPO

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top