Shetta amekaa zaidi ya miezi saba (7) bila kutoa chochote ambapo minongono ya chinichini ilikuwa imekwisha kuanza katika midomo ya baadhi ya watu kuwa tayari amekwisha..Sasa ameru kivingine na Ngoma moja kali sana aliyomshirikisha K.CEE, msanii toka Nigeria.
BONYEZA PLAY KUONA VIDEO
Shetta anatamani aone comment yako hapa chini baada ya kuiona video
Endelea kuperuz modesigntz beste wangu wa ukweli, na mimi niko pamoja na wewe kukuwekea kila stori inayonifikia.
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU ILI NA WEWE UWE MWANAFAMILIA NA HABARI ZETU ZIKUFIKIE MOJA KWA MOJA
BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN

Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.