Welcome

    Featured Posts

    MO DESIGN

    Social Icons

Loading...

ACTRESS MAARUFU WA HOLLYWOOD MWENYE ASILI YA KENYA LUPITA NYONG'O AWAKIVUTIO TENA...


Actress maarufu wa Hollywood na mwenye asili ya Kenya Lupita Nyong'o, amekuwa kivutio kikubwa sana katika ufunguzi wa maonesho ya Red Capet ya 68th Annual Cannes Film Festival.
Lupita Nyong'o alikuwa miongoni mwa mastar wengine wengi waliokuwepo katika maonesho hayo wakiwemo ma star maarufu wa filamu na wanamitindo maarufu.
 Lupita Nyong'o mwenye umri wa miaka 32, alikuwa kivutio zaidi kutokana na gauni lake kijani lililonakshiwa maua yenye rangi tofauti na lilolokuwa na mvuto na huku nyewele zake zenye uoto wa asili vikiwaacha watu hoi.
lupita alizolea umaaru katika sinema nyingi alizocheza huko Hollywood kama vile 12 years a slave,Star wars,The Jungle Book na nyinginezo.

BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU

HII NI MO DESIGN

Post a Comment

Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.

CodeNirvana
© Copyright MO Design
Back To Top