Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar....wakiwa chini ya ulinzi.Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo maeneo Sinza-Mori, Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea mchana wa leo katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika harakati za kutekeleza tukio lakupiga mkwanja mrefu kutoka katika Benki hiyo.
Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo.…
Majambazi hao baada ya kukamatwa wamepelekwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar.
...wakiwa chini ya ulinzi.
Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo.
Gari walimowekwa majambazi hao wakati wakipelekwa kituo cha Polisi Mabatini, Kijitonyama.
Wakiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi.BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.