Kutana
na Shilole, mwigizaji aliyechukua headlines na kwenye bongofleva pia
ambayo anakiri kwa kiasi kikubwa ndio imeyabadilisha maisha yake
kiuchumi.
Bado headlines zake za Belgium zinaendelea
ambapo leo hii ameitumia millardayo.com hizi picha akiwa anafanya video
yake mpya ya ‘Malele’ hukohuko Belgium ambako alikwenda kufanya show
akaamua atumie gharama nyingine kutengeneza video yake mpya ambayo
inatarajiwa kuwa yenye ubora zaidi.













BOFYA HAPA KWA KUJIUNGA NASI MOJA KWA MOJA NA LIKE PAGE YETU
HII NI MO DESIGN
Post a Comment
Tafadhali, Usitumie lugha ya matusi! Maoni yako ni ya muhimu sana kwetu.